KARIBU KATIKA BLOG HII YA WANAPAMOJA TUNAWEZA

14:39:00

Karibu katika blog hii ya wanapamoja tunaweza, 
TOGETHER WE CAN ni blog ya kikundi cha vijana kilichopo jimbo la kinondoni , kata ya mzimuni , mtaa wa mtambani , na makao makuu yake ni msanga(lango la jiji, almaarufu kwenye mix). 
MADHUMUNI YA KIKUNDI
1. Kushirikiana kijamii na kiuchumi
2. Kuwezesha kifedha miradi ya kimaendeleo iliyolitishwa na wanakikundi
Majina ya wanakikundi kwa sasa
1. Mbarouk 
2. Rose dimando
3. Khamis shabani
4. Juma ferouz
5. Mariam tewa
6. Mulhat(shuni)
7. Mohammed yahya
8. Shabani akili
9. Kurthumu shaban
10. Irumbo
11. Mdahoma
N. K
Hao ndio baadhi ya waanzilishi wa kikundi cha TOGETHER WE CAN. 

     WAS 
                PREPARED BY
                          RASHID KIHANZA
                              (msemaji mkuu)

You Might Also Like

0 comments

Popular Posts

Like us on Facebook

Flickr Images